Maore (kisiwa)
Mandhari
Kwa kata ya Tanzania yenye jina hili, angalia Maore
Maore (Kifaransa: Grande-Terre) ni kisiwa kikubwa cha eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayote. Kisiwa cha pili ni Pamanzi (Kifaransa: Petite-Terre).
Maore ina urefu wa km 39 na upana wa km 22.
Milima yake ni Mlima Benara (m 660), Mlima Choungui (m 594), Mlima Mtsapere (m 572) na Mlima Combani (m 477).
Mji mkubwa ni Momoju. Kitovu cha kiuchumi ni Kaweni.
Kijiografia kisiwa ni sehemu ya funguvisiwa la Komori.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maore (kisiwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |