Maria Alfonsa Matathupadathu
Mandhari
Maria Alphonsa Muttathupadathu (Kudamalloor, karibu na Kottayam, huko Kerala[1]19 Agosti 1910 - Bharananganam, 28 Julai 1946) alikuwa bikira Mfransisko wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.
Ili asiolewe kwa shuruti, alijichoma mguu kwa kuuweka motoni. Kisha kupokewa katika shirika ya Waklara wa Kimalabari, alimtolea Mungu maisha yake yote akiwa mgonjwa karibu mfululizo.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 8 Februari 1986 akatangazwa mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 12 Oktoba 2008.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""St. Alphonsa – Our Patroness" St. Alphonsa Church, Bangalore". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-22. Iliwekwa mnamo 2015-02-06.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website
- St. Alphonsa Anna Muttathupadam of the Immaculate Conception, F. C. C. Ilihifadhiwa 11 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine.
- Pope John Paul II On Blessed Alphonsa of India
- 100 Maxims of the saint Ilihifadhiwa 19 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |