Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Nevşehir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Nevşehir
Maeneo ya Mkoa wa Nevşehir nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 5,467 (km²)
Idadi ya Wakazi 310,344 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 50
Kodi ya eneo: 0384
Tovuti ya Gavana http://www.nevşehir.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/nevşehir


Nevşehir ni jina la mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni Nevşehir. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Kırşehir upande wa kaskazini-magharibi, Aksaray kwa upande wa kusini-magharibi, Niğde kwa upande wa kusini, Kayseri kwa upande wa kusini-mashariki, na Yozgat kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi.

Wilaya za mkaoni hapa

[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Nevşehir umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nevşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.