Nenda kwa yaliyomo

Mto Aba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Aba.

Mto Aba ni mto uliopo ukanda wa kusini mwa Nigeria.

Chanzo chake kipo upande wa kaskazini wa mji wa Aba, na ukipita katika mji unapokea uchafu mwingi, hasa kutokana na majitaka na damu ya machinjo ya Aba[1].

Mto huo unaishia kwenye mto Imo. Njia yake huwa na urefu wa km 50.

  1. Nwakanma C. and Okechukwu C.: The physicochemical parameters of effluents on Aba River located in Abia State, Nigeria, ejbps, 2016, Volume 3, Issue 1, XX-XX, iliangaliwa kupitia Researchgate.net, kwenye Februari 2020
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Aba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.