Ndani ya Bongo
Mandhari
Ndani ya Bongo | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Mr. II | |||||
Imetolewa | 1996 | ||||
Imerekodiwa | 1995-1996 | ||||
Aina | Bongo Flava, Hip hop | ||||
Lebo | FM Music Bank | ||||
Mtayarishaji | P. Funk Master Jay |
||||
Wendo wa albamu za Mr. II | |||||
|
Ndani ya Bongo ni jina la albamu ya pili kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1996 mwaka mmoja tangu atoe albamu ya kwanza. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kwa Penzi, Ndani Ya Bongo na Mojakwamoja. [1] Albamu imetayarishwa na watayarishaji wakubwa wawili wa Tanzania, P. Funk na Master Jay.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- A1 - Intro
- A2 - Nimesimama
- A3 - KwaPenzi
- A4 - Mojakwamoja (Orgn.)
- A5 - Black Queen
- A6 - Mojakwamoja (Re-mix)
- B1 - Ndani Ya Bongo
- B2 - Fani
- B3 - Blaah Blaah
- B4 - Kwa Penzi (Remix)
- B5 - Got You Open
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ndani ya Bongo katika wavuti ya Discogs