Nestroy Kizito
Mandhari
Nestroy Kizito | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Joseph Nestroy Kizito | |
Tarehe ya kuzaliwa | 27 Julai 1982 | |
Mahala pa kuzaliwa | Uganda | |
Urefu | mita 1.78 | |
Nafasi anayochezea | Mlinzi | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | FK Crvena Zvezda | |
Namba | 2 | |
Klabu za ukubwani | ||
Miaka | Klabu | |
2005 | FK Crvena Zvezda | |
Timu ya taifa | ||
Uganda | ||
* Magoli alioshinda |
Joseph Nestroy Kizito (amezaliwa 27 Julai 1982 Uganda) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Uganda, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya FK Vojvodona nchini Serbia tangu Januari mwaka 2005. Yeye pia ndio kapteni wa Timu ya Taifa ya Uganda.
Kizito alifunga goli dhidi ya wa pinzani wao wa kuu FK Crevena Zvezda katika Ligi kuu ya Serbia katika msimu wa mwaka 2005/2006 mechi hiyo ilichezeka nyumbani kwao. Goli hilo lilivunja rekodi ya kukaa muda mrefu bila kuwafunga wapinzani wao wa jadi FK Crvena Zvezda zaidi ya miaka kumi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nestroy Kizito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |