Nkuhungu
Mandhari
Nkuhungu ni kata iliyopo katika wilaya ya Dodoma mjini yenye postikodi namba 41117[1].
Jina Nkuhungu linatokana na lile la jamii mojawapo ya kabila la Wagogo.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 49,327 [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-09-23.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Dodoma mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ||
---|---|---|
Chahwa | Chamwino | Chang'ombe | Chigongwe | Chihanga | Dodoma Makulu | Hazina | Hombolo Bwawani | Hombolo Makulu | Ihumwa | Ipagala | Ipala | Iyumbu | Kikombo | Kikuyu Kaskazini | Kikuyu Kusini | Kilimani | Kiwanja cha Ndege | Kizota | Madukani | Majengo | Makole | Makutupora | Matumbulu | Mbabala | Mbalawala | Miyuji | Mkonze | Mnadani | Mpunguzi | Msalato | Mtumba | Nala | Nghong'onha | Nkuhungu | Ntyuka | Nzuguni | Tambukareli | Uhuru | Viwandani | Zuzu |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nkuhungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |