Nenda kwa yaliyomo

Order in the Court

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Order in the Court
Order in the Court Cover
Studio album ya Queen Latifah
Imetolewa 16 Juni 1998
Imerekodiwa 1997–1998
Aina Hip hop, R&B
Urefu 55:17
Lebo Flavor Unit / Motown
Mtayarishaji Marcus "DL" Siskind, Big Jaz, Clark Kent, Chad "Dr. Ceuss" Elliott, Kay Gee, Pras & Jerry Wonda, Queen Latifah, Divine Styler, Martin "Kendu" Issacs, Darryl "Big Baby" McClary & Mike "Suga" Allen, Diamond D
Wendo wa albamu za Queen Latifah
Black Reign
(1993)
Order in the Court
(1998)
She's a Queen: A Collection of Hits
(2002)


Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 3/5 stars [Order in the Court katika Allmusic link]
Entertainment Weekly A−[1]
Robert Christgau B+[2]
Rolling Stone 3/5 stars link
Jedwali hili linahitaji kupanuliwa kwa kutumia Nathari. Tazama mwongozo kwa maelezo zaidi.

Order in the Court ni jina la albamu ya nne ya rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Queen Latifah. Albamu ilitoka tarehe 16 Juni 1998 huko Marekani kupitia studio za Motown Records. Albamu ipo katika moja ya sehemu ya kuwaenzi Tupac Shakur na The Notorious B.I.G.. Hii ni albamu ya kwanza ya Latifah kuwa na onyo la Parental Advisory juu yake.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Bananas (Who You Gonna Call?)" (akiwa na Apache) – 4:00
  2. "Court Is in Session" – 3:52
  3. "No/Yes (Skit)" – 0:44
  4. "No/Yes" – 4:50
  5. "Turn You On" – 4:21
  6. "Black on Black Love" (akiwa na Antonique Smith na Next) – 5:05
  7. "Parlay" – 4:52
  8. "Paper" – 4:00
  9. "What Ya Gonna Do" (akiwa na Inaya Jafan) – 4:33
  10. "It's Alright" – 3:35
  11. "Phone Call Skit" – 0:34
  12. "Brownsville" (akiwa na Le Fem Markita, Scarlet na Nikki D) – 4:40
  13. "I Don't Know" (akiwa na Sisqó) – 4:29
  14. "Life" – 5:42

Toleo la Ulaya

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Let Her Live" (akiwa na Next)

Toleo la Japani

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Let Her Live" (akiwa na Next)
  2. "Keep Your Head to the Sky"
  1. Weingarten, Marc (19 Juni 1998). "Order in the Court Review". Entertainment Weekly: 74. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-05. Iliwekwa mnamo 2012-06-16. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help); Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. Christgau, Robert (3 Novemba 1998). "Consumer Guide". The Village Voice. Village Voice Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-22. Iliwekwa mnamo 2012-01-25. {{cite journal}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)