Oregon
Oregon | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Salem | ||
Eneo | |||
- Jumla | 254,805 km² | ||
- Kavu | 248,631 km² | ||
- Maji | 6,174 km² | ||
Tovuti: http://www.oregon.gov/ |
Oregon ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kazkazini ya nchi. Iko kwenye pwani la Pasifiki.
Mji mkuu ni Salem na Portland ni mji mkubwa.
Impekana na Washington, Idaho, Nevada na California.
Jimbo lina wakazi wapatao 3,790,060 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 255,026.
Mlima Hood ni mlima mkubwa katika Oregon.
Miji muhimu baada ya Portland ni Eugene, Astoria, Medford na Bend.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oregon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |