Orodha ya mitambo ya utafutaji
Mandhari
Hii ni orodha ya makala za Wikipedia kuhusu mitambo ya utafutaji, ikiwemo mitambo ya kutafuta mitandao, mitambo inayotafuta kwa kuchagua, vifaa vya kutafuta ukitumia ujumuishaji wa maneno, vifaa vya kutafuta katika kompyuta yako binafsi na vifaa vya kuonyesha habari kutoka sehemu mbalimbali kwa umoja na tovuti ambazo zina vifaaa vya kutafuta kwenye gala ya habari katika mtandao.
Kulingana na Yaliyomo / Mada
[hariri | hariri chanzo]Kwa jumla
[hariri | hariri chanzo]- Ask.com (iliyokua Ask Jeeves hapo awali)
- Baidu (Kichina)
- Bing (iliyokua MSN Search na Live Search hapo awali)
- Cuil
- Duck Duck Go
- Kosmix
- Sogou (Kichina)
- Sohu (Kichina)
- Yahoo! Tafuta
- Yandex (Kirusi)
- Yebol
Upeo finyu wa kijiografia
[hariri | hariri chanzo]- Accoona, Uchina / Marekani
- Alleba, Ufilipino
- Ansearch, Australia / Marekani / Uingereza / New Zealand
- Araby, Mashariki ya Kati
- Baidu, Uchina
- Daum, Korea
- Guruji.com, Uhindi
- Goo, Ujapani
- Leit.is, Iceland
- Miner.hu, Hungaria
- Najdi.si, Slovenia
- Naver, Korea
- Onkosh, Mashariki ya Kati
- Rambler, Urusi
- Rediff, Uhindi
- SAPO, Ureno / Angola / Cape Verde / Msumbiji
- Search.ch, Uswisi
- Sesam, Norway, Sweden
- Seznam, Jamhuria ya Ucheki
- Walla!, Israeli
- Yandex, Urusi
- ZipLocal, Kanada / Marekani
Uhasibu
[hariri | hariri chanzo]Biashara
[hariri | hariri chanzo]Kampuni/ Biashara
[hariri | hariri chanzo]- AskMeNow: Kutafuta Suluhisho la Kimantiki
- Concept Searching Limited: bidhaa za kutafuta dhana
- Dieselpoint: Kutafuta & Kuelekeza
- dtSearch: mashine ya kutafuta ya dtSearch (SDK), mtandao wa dtSearch
- Endeca: Fora ya Upataji Habari
- Exalead: exalead moja: biashara
- Expert System SpA.: Cogito
- Fast Search & Transfer: Fora ya kutafuta biashara (ESP), RetrievalWare (iliyokuaConvera hapo awali)
- Funnelback: Kutafuta ukitumia Funnelback
- Jumper 2.0: Kutafuta kwa jumla kwa kuwezeshwa na Enterprise Bookmarking
- ISYS Search Software: ISYS: mtandao, ISYS: sdk
- Microsoft: programu na huduma za kutafuta za SharePoint
- Nothern Light
- Open Text: Huduma ya Hummingbird ya utafutaji, Tafuta ukitumia Livelink
- Oracle Corporation: Utafutaji thabiti wa biashara 10g
- SAP: TREX
- TeraText: TeraText Suite
- Vivisimo: Mtambo wa kutabakisha wa Vivisimo
- X1 Technologies: Utafutaji Biashara wa X1
- ZyLAB Technologies: Fora ya upataji habari ya ZyIMAGE
Simu ya mkononi
[hariri | hariri chanzo]- Taptu: simu ya mkononi ya taptu/ Kutafuta kijamii
Kazi
[hariri | hariri chanzo]- Bixee.com (Uhindi)
- CareerBuilder.com (Marekani)
- Craigslist (kwa mji)
- Eluta.ca (Kanada)
- Hotjobs.com (Marekani)
- Incruit (Korea)
- Indeed.com (Marekani)
- LinkUp.com (Marekani)
- Monster.com (Marekani na Uhindi)
- SimplyHired.com (Marekani)
- Naukri.com (India)
Kisheria
[hariri | hariri chanzo]Utabibu
[hariri | hariri chanzo]- Bioinformatic Harvester
- Entrez (inajumuisha PubMed)
- EB-eye mashini ya kutafuta ya EBina mtambo wa kutafuta wa EMBL-EBI
- GenieKnows
- GoPubMed (mtambo unaotegemea ujuzi: GO - GeneOntology and MeSH -Anuani za Masomo ya Utabibu)
- Healia
- Searchmedica
- WebMD
- PubGene
- Nextbio (Mitambo ya Kutafuta Sayansi ya Maisha)
- VADLO (Mitambo ya Kutafuta Sayansi ya Maisha)
Habari
[hariri | hariri chanzo]- Habari za Google
- Daylife (Maisha ya Mchana)
- MagPortal
- Newslookup (Kutafuta habari)
- Nexis (Lexis Nexis)
- Topix.net
- Yahoo! News.(Yahoo! Habari)
Watu
[hariri | hariri chanzo]Mali halisi
[hariri | hariri chanzo]Michezo ya video
[hariri | hariri chanzo]- GenieKnows
- Wazap (Ujapani)
Kulingana na aina ya Habari
[hariri | hariri chanzo]Mitambo ya utafutaji ambayo ni maalumu kwa aina fulani ya habari
Ukumbi
[hariri | hariri chanzo]Blogi
[hariri | hariri chanzo]Vyombo vya habari vinavyochanganya picha na sauti
[hariri | hariri chanzo]- Bing Videos
- blinkx
- FindSounds
- Google Video
- Munax 's PlayAudioVideo
- Picsearch
- Pixsta
- Podscope
- Songza
- SeeqPod
- Veveo
- TinEye
- Yahoo! Video
- YouTube
Programu Tanzu (kodi chasili)
[hariri | hariri chanzo]BitTorrent
[hariri | hariri chanzo]Mitambo hii ya utafutaji hufanya kazi katika itifaki ya BitTorrent
Barua pepe
[hariri | hariri chanzo]Rahamani
[hariri | hariri chanzo]- Bing Maps
- Géoportail
- Google Maps (Ramani za Google)
- MapQuest
- Yahoo! Maps (Ramani za Yahoo)
Bei
[hariri | hariri chanzo]- Google Product Search (Iliyokua Froogle hapo awali)
- Kelkoo
- MSN Shopping
- MySimon
- PriceGrabber
- PriceRunner
- PriceSCAN
- Shopping.com
- ShopWiki
- Shopzilla (pia huitwa operates Bizrate)
- TheFind.com
Swali na jibu
[hariri | hariri chanzo]Majibu ya binadamu
[hariri | hariri chanzo]Majibu ya otomatiki
[hariri | hariri chanzo]Lugha ya kiasili
[hariri | hariri chanzo]Kwa modeli
[hariri | hariri chanzo]Mitambo ya utafutaji ambayo leseni ya matumizi yake iko wazi
[hariri | hariri chanzo]- DataparkSearch
- Egothor
- Grub
- Isearch
- Lucene
- Lemur Toolkit & Indri Search Engine
- mnoGoSearch
- Namazu
- Nutch
- OpenFTS
- Sciencenet (kwa habari ya kisayansi, kuzingatia teknolojia ya YaCy)
- Sphinx
- SWISH-E
- Terrier Search Engine
- Wikia Search
- Xapian
- YaCy
- Zettair
Mitambo ya Utafutaji wa kimantiki
[hariri | hariri chanzo]Mitambo ya utafutaji wa kijamii
[hariri | hariri chanzo]- ChaCha Search
- Delver
- EarthFrisk.org
- Eurekster
- Mahalo.com
- OneRiot
- Rollyo
- Sproose
- Trexy
- Wikia Search
- Wink Huwezesha kutafuta katika mtandao kwa kuchunguza mitindo, michango na maoni ya mtumizi
Vifaa vya kutafuta ukitumia ujumuishaji wa maneno - Metasearch
[hariri | hariri chanzo]- Brainboost
- ChunkIt!
- Clusty
- Dogpile
- Excite
- Harvester42
- HotBot
- Info.com
- Ixquick
- Kayak
- LeapFish
- Mamma
- Metacrawler
- MetaLib
- Mobissimo
- Myriad Search
- SideStep
- Turbo10
- WebCrawler
- DeeperWeb
Vifaa vya kutafuta kwa kutazama
[hariri | hariri chanzo]Nyala za Kutafutia
[hariri | hariri chanzo]- Google: Nyala ya Kutafutia ya google
Vifaa vya kutafuta katika kompyuta yako binafsi
[hariri | hariri chanzo]Jina | Ukumbi | Maoni | Leseni |
---|---|---|---|
Ask.com | Windows | -- | Freeware |
Autonomy | Windows | Kifaaa cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi cha IDOL Enterprise | Proprietary Commercial |
Beagle | Linux | Kifaaa cha kutafuta ambacho leseni yake iko wazi. Hutumika katika kompyuta yako binafsi iliyo na Linux na imetengenezwa katika msingi wa Lucene. | Mchanganyiko wa Leseni ya X11/MIT na leseni ya Apache |
Copernic Desktop Search | Windows | Ilifikiriwa kuwa kifaa bora cha kutafuta mwaka 2005 katika utafiti wa UW benchmark [1] | Bure kwa matumizi ya nyumbani |
Docco | (0} cross-platform (Java) | Imetokana na kifaa cha Apache cha kuorodgesha na mitambo ta kutafutia ya Lucene, na kinahitaji Mazingira ya Java Runtime | Yaweza tumika na watu wengi [2]BSD |
Docfetcher | Cross-platform | Kifaaa cha kutafuta cha Windows na Linux,kinachotokana na Apache Lucene[[]] [[]] | Leseni ya Eclipse Public Proprietary |
dtSearch Desktop | Windows | siku 30 za majaribio) | |
Easyfind | MacOS | Freeware | |
Gaviri PocketSearch | Windows | Indexes desktop, vipenyezo na viendesha mtandao | Freeware au kibiashara |
Google Desktop | Linux, MacOS, Windows | Hujiunganisha na mtambo mkuu wa kifaa cha kutafuta cha Google. 5.9 Nguvu itokayo sasa inasaidia mifumo ya x64. | Freeware |
GNOME Storage | Linux | Kifaaa cha kutafuta ambacho leseni yake ni wazi, kinachotumika katika kompyuta ya Unix/Linux | GPL |
imgSeek | Linux, MacOS, Windows | Kifaaa cha kutafuta katika kompyuta kwa kuzingatia maudhui na picha | GPL v2 [3] |
Insight Desktop Tafuta | Windows | Kifaa cha kutafuta ukitumia ujumuishaji wa data, Metadata | Freeware |
ISYS Search Software | Windows | Kifaaa ororo cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi cha ISYS | Binafsi(siku 14 ya kujaribu kesi) |
Likasoft Archivarius 3000 | Windows | -- | Proprietary (siku 30 a majaribio) |
Meta Tracker | Linux, Unix | Kifaa cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi iliyo na Unix/Linux | GPL[4] |
Recoll | Linux, Unix | Kifaaa cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi iliyo na Unix/Linux | GPL[5] |
Spotlight | MacOS | Hupatikana katika Apple Mac OS X "Tiger" na programu za baadaye za OS X | Proprietary |
Strigi | Linux, Unix, Solaris, Mac OS X na Windows | Cross-platform, mtambo wa kutafuta katika kompyuta yako binafsi | LGPL v2 [6] |
Terrier Search Engine | Linux, MacOS, Unix | Ni Kifaaa cha kutafuta katika Windows, Mac OS X (Tiger), Unix/Linux | MPL |
Tropes Zoom | Windows | Mtambo wa kutafuta kimantiki | Freeware na kibiashara |
Windows search | windows | Sehemu ya Windows Vista na programu za OS baadaye. Hupatikana kama Kifaa cha kutafutia Windows XP na sever 2003 katika kompyuta ya kibinafsi [[]][[]] Hairuhusa kuorodhesha kwa mapito ya UNC katika mifumo wa x64. | Proprietary, Freeware |
X1 Professional Client | Windows | Ilijukalikana kama yahoo desktop Search hapo awali, kisha ikawa X1 Desktop Search, kisha X1 Enterprise Client | Propriety (siku 30 za majaribio) |
Usenet
[hariri | hariri chanzo]- Google Groups (iliyojulikana kama Deja Newshapo awali)
Ukizingatia
[hariri | hariri chanzo]Yahoo!
[hariri | hariri chanzo]- Altavista
- AlltheWeb
- Ecocho
- Forestle (ni tovuti ipatayo motisha kutoka kwa ekolojia na inajaribu kusaidia uendelevu wa misitu ya mvua)
- GoodSearch
- Rectifi
Bing
[hariri | hariri chanzo]Ask.com
[hariri | hariri chanzo]Vifaa vya kutafuta ambavyo viliuzwa au havifanyi kazi
[hariri | hariri chanzo]- BRS / Search ( Kwa sasa ni OpenText Discovery Server Livelink ECM)
- Direct Hit Technologies (Iliyonunuliwa na Ask Jeeves mwezi wa Januari 2000)
- Google Answers
- Infoseek
- Inktomi
- Lotus Magellan
- Overture.com (iliyokua GoTo.com hapo mwanzoni,lakini kwa sasa niYahoo! Search Marketing)
- PubSub
- Singingfish
- Teoma
- Wikia Tafuta
- WiseNut
- World Wide Web Worm
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Benchmark Study of Desktop Search Tools" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-05-14. Iliwekwa mnamo 2008-03-10.
- ↑ Kulingana na Sourceforge kurasa ya miradi
- ↑ Kulingana na [http://imgseek.svn.sourceforge.net/viewvc/imgseek/trunk/imgseek-python/COPYING?view=markup kuiga katika shina SVN tarehe Sourceforge.
- ↑ Kulingana na kuiga Archived 2012-07-14 at Archive.today katika SVN shina
- ↑ Kulingana [1]
- ↑ Kulingana na kuiga katika toleo 0.5.10 tar.bz2 paket.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Search Engines katika Open Directory Project