Papa Innocent V
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti V)
Papa Innocent V, O.P. (takriban 1225 – 22 Juni 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Januari/22 Februari 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Savoie, leo nchini Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise. Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.
Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.
Tarehe 9 Machi 1898 Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.
Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |