Nenda kwa yaliyomo

Romano wa Rouen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Rouen.

Romano wa Rouen (pia: Romain; alifariki Neustria, leo nchini Ufaransa, 640 hivi) alikuwa askofu wa Rouen, Ufaransa[1].

Alibomoa hadi misingi yake mahekalu ya Kipagani ambayo yalikuwa yanahudhuriwa bado sana mjini, alihimiza waadilifu wazidi kutenda mema na alijitahifi kufanya waovu wasiendelee kutenda mabaya [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Four Lives of Saint Romain exist - one is a Latin verse version of the 8th century, another is a prose life addressed to the archbishop of Rouen by the doyen of Saint-Médard de Soissons. Those two lives are held in the Bibliothèque municipale de Rouen, whilst another Life is held by the Bibliothèque nationale de France in Paris.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74870
  3. Martyrologium Romanum
  • Jean-Patrick Beaufreton, La Seine Normande, Éditions Alan Sutton, 2001
  • Alain Alexandre, Saint Romain, de la légende à la foire, collection histoire(s) d'agglo n°4, January 2001

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.