Sara Ramadhani
Mandhari
Sara Ramadhani | |
---|---|
Amezaliwa | 30 Desemba 1987 |
Sara Ramadhani (amezaliwa tarehe 30 Desemba 1987) ni Mtanzania mkimbiaji wa mbio ndefu zijulikanazo kama marathoni. Alishiriki shindano la Marathoni ya wanawake ya mwaka 2016 ambapo alimaliza umbali wa 121 kwa muda wa 3:00:03 [1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |