Nenda kwa yaliyomo

Synne Jensen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Synne Sofie Kinden Jensen (alizaliwa 15 Februari 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norwei, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania, na timu ya taifa Norwei.[2]

  1. "Rosenborg vs. Lillestrøm - 14 April 2012 - Women Soccerway". us.women.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-22.
  2. http://www.fotball.no/Landslag_og_toppfotball/spillerutvikling/Unge-profiler/2012/Synne-Jensen/
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Synne Jensen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.