Ubadilishaji msimbo
Mandhari
Makala hii kuhusu "Ubadilishaji msimbo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Ubadilishaji msimbo ni kitendo cha mtu anayezungumza lugha fulani kumalizia tungo kwa lugha nyingine ambayo ni tofauti na aliyoanzia kuzungumza. Hali hii hutokana na uwililugha; yaani mtu kuwa na ujuzi wa lugha mbili sawasawa.
Mfano wa ubadilishaji msimbo:
- Jabari anakwenda shule everyday.
- I like my mama anayenipenda pia.