Vicenza
Mandhari
Vicenza | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Veneto |
Wilaya | Vicenza |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 115,012 |
Tovuti: www.comune.vicenza.it/ |
Vicenza ni mji wa Italia katika mkoa wa Veneto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 115,000 wanaoishi katika mji huo. Mji upo mita 12 juu ya usawa wa bahari.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Basilica Palladiana
-
Piazza dei Signori - Torre Bissara - Piazza della Biade
-
Palazzo Chiericati
-
Andrea Palladio
-
Santa Maria Annunciata
-
Teatro olimpico
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vicenza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |