Nenda kwa yaliyomo

Visiwa vya Andaman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Andaman kutoka angani.

Visiwa vya Andaman ni funguvisiwa la Bahari ya Hindi. Kiutawala, sehemu kubwa iko chini ya Jamhuri ya India na sehemu ndogo chini ya Myanmar.

Eneo la wenyeji wa Andaman, lilivyokuwa kabla ya karne ya 18 na lilivyo leo.

Wakazi wake walibaki karne nyingi bila mawasiliano na watu wengine; hivyo wenyeji wana sifa za pekee upande wa jenetikia, ingawa siku hizi wakazi wengi ni walowezi na wahamiaji hasa kutoka India bara.

  • India Home Department. The Andaman Islands: with notes on Barren Island. C.B. Lewis, Baptist Mission Press, 1859 read online or download

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Andaman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.