Elton John
Elton John | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Elton John |
Nchi | Uingereza |
Alizaliwa | 25 Machi 1947 |
Aina ya muziki | Rock Pop Piano rock Glam rock |
Kazi yake | Mmanamuziki Mwimbaji-mtunzi Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1964- hadi leo |
Ala | Sauti Kindanda |
Kampuni | Uni MCA Geffen Rocket/Island Universal Interscope Mercury UMG |
Sir Elton Hercules John (jina la kuzaliwa: Reginald Kenneth Dwight; 25 Machi 1947) ni mwimbaji wa muziki wa pop-rock, mtunzi na mpigaji kinanda kutoka nchini Uingereza. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya 1970, pale yeye na mtunzi mwingine wa nyimbo ajulikanae kwa jina la Bernie Taupin kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika kumbi mbalimbali na hata nyingine kuzikurekodi.
John ameanza kuwa nyota maarufu, si kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya filamu: filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.
Katika kumbukumbu ya Princess Diana, Elton alitoa tena kile kibao chake cha Candle in the Wind mnamo mwaka 1997, lakini wimbo halisi ulitungwa kwa ajili ya Marilyn Monroe. Wimbo huo ulitamba sana ukawa miongoni mwa nyimbo maarufu na zenye mauzo ya juu kwa muda wote (kuuzwa kwa muda miaka 100). John vilevile ni shoga na alijitangaza kama anafanya mambo hayo kunako mwaka 1976.
Ilivyofika mwaka 1984, John akamwoa mtayarishaji muziki wa Kijerumani Renate Blauel katika sikukuu ya wapendanao, mjini Sydney, lakini walitalikiana baada ya miaka minne. Baadaye John alitangaza tena ule mchezo wake wa ulawiti, ila amekuja vingine, safari hii yeye ndiye analawitiwa (msenge) badala ya yeye kulawiti wenziye.
Mwaka wa 1998 Elton John alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Elton John discography katika MusicBrainz
- Elton John's official website
- Elton John AIDS Foundation (EJAF) Ilihifadhiwa 7 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Elton John kwenye Internet Movie Database
- Official Elton John MySpace
- Disney Legends profile
- Cornflakes & Classics--A Musical History of Elton John Ilihifadhiwa 8 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- Elton John at Live 8 Ilihifadhiwa 22 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Larry King Live: Transcript of Elton John Interview on 25 January 2002
- Spots related to Elton John's childhood and career
- Eltonography The online illustrated Elton John discography
- Elton John's Photo Acceptable After All - Javno News Ilihifadhiwa 7 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- Photo Owned By Elton John Isn't Indecent - AP Ilihifadhiwa 28 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elton John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |