Hifadhi ya Samburu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Hifadhi ya Taifa ya Samburu)
Hifadhi ya Samburu inapatikana katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.
Ndiyo "nchi huru" ambapo Joy Adamson alikasirishwa mno na simba. Hii imeifanya mbuga hii kuwa maarufu sana na kuvuta watalii wengi kutaka kuizuru.
Watalii pia huvutiwa mno na utamaduni wa Wasamburu pamoja na mavazi na mienendo yao.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Samburu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |