Nenda kwa yaliyomo

Kaunti ya Nyeri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kuhusu mji, tazama Nyeri
Kaunti ya Nyeri
Kaunti
Kilele cha Lenana katika Mlima Kenya, Kaunti ya Nyeri
Nyeri County in Kenya.svg
Kaunti ya Nyeri katika Kenya
Nchi Kenya
Namba19
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Kati
Makao MakuuNyeri
Miji mingineKaratina, Othaya, Kiganjo
GavanaEdward Mutahi Kahiga
SenetaEphraim Maina
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Rahab Mukami Wachira
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Nyeri
Eneokm2 3 325 (sq mi 1 284)
Idadi ya watu759,164
Wiani wa idadi ya watu228
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti nyeri.go.ke

Kaunti ya Nyeri ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 759,164 katika eneo la km2 3,325, msongamano ukiwa hivyo wa watu 228 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Nyeri.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nyeri imepakana na Laikipia (kaskazini), Kirinyaga (mashariki), Murang'a (kusini) na Nyandarua (magharibi).

Topografia ya kaunti huwa na miinuko mikali na mabonde. Mlima Kenya hupatikana katika mpaka wa Meru na Nyeri. Mto Chania na Mto Sagana ndiyo mito mikubwa ambayo hupitia katika kaunti hii[2].

Kaunti ya Nyeri imegawanyika ifuatavyo[3]:

Eneo bunge/kaunti ndogo Kata
Tetu Dedan Kimathi, Wamagana, Aguthi-Gaaki
Kieni Mweiga, Naromoro, Kiamathaga, Mwiyogo/Endarasha, Mugunda, Gatarakwa, Thegu River, Kabaru, Gakwa
Mathira Ruguru, Magutu, Iriaini, Konyu, Kirimukuyu, Karatina Town
Othaya Mahiga, Iria-ini, Chinga, Karima
Mukurweini Gikondi, Rugi, Mukurwe-ini West, Mukurwe-ini Central
Nyeri Town Kiganjo/Mathari, Rware, Gatitu/Muruguru, Ruring'u, Kamakwa/Mukaro

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]

[hariri | hariri chanzo]
  • Tetu 80,453
  • Kieni East 110,376
  • Kieni West 88,525
  • Mathira East 99,065
  • Mathira West 59,895
  • Nyeri South 91,081
  • Mukurwe-ini 89,137
  • Nyeri Central 140,338
    • Mt. Kenya Forest 188
    • Aberdare Forest 106

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. A REVIEW OF NYERI COUNTY-KENYA STRATEGIC PLAN 2013 – 2017, iliwekwa mnamo 29/04/2018
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-04. Iliwekwa mnamo 2021-09-04.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.