Rongo
Mandhari
Rongo ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Migori, haya ndiyo maeneo ya watu wa Kamagambo. Rongo ni mji ambao umenawiri kwa ukulima wa miwa.
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 82,066[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |