Nenda kwa yaliyomo

Richard Nixon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Nixon


Makamu wa Rais
  • Spiro Agnew (1969–1973)
  • - (Oct–Dec. 1973)
  • Gerald Ford (1973–1974)
mtangulizi Lyndon B. Johnson
aliyemfuata Gerald Ford

tarehe ya kuzaliwa (1913-01-09)Januari 9, 1913
Yorba Linda, California, U.S.
tarehe ya kufa Aprili 22, 1994 (umri 81)
Manhattan, New York, Marekani
mahali pa kuzikiwa Richard Nixon Presidential Library and Museum
Yorba Linda, California
chama Republican
ndoa Pat Ryan (m. 1940–1993) «start: (1940-06-21)–end+1: (1993-06-23)»"Marriage: Pat Ryan to Richard Nixon" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Richard_Nixon)
watoto Tricia Nixon Cox na Julie Nixon Eisenhower
mhitimu wa Whittier College
Duke University
signature

Richard Milhous Nixon (9 Januari 191322 Aprili 1994) alikuwa Rais wa 37 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1969 hadi 1974. Kaimu Rais wake alikuwa kwanza Spiro Agnew (1969-73), na halafu Gerald Ford aliyemfuata kama Rais, Nixon alipojiuzulu madarakani.Nixon alikuwa ni rahisi pekee wa Marekani ambaye ali ng'atuka na aliye wahi kuchaguliwa mara mbili kwenye nafasi za Uraisi na Umakamo rais.

Tazamia pia

[hariri | hariri chanzo]

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Nixon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.