Nenda kwa yaliyomo

Majimbo ya Sudan Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Migawanyiko ya kiutawala ya Sudan Kusini imejumuishwa katika majimbo matatu ya kihistoria ya:storical provinces of:      Bahr el Ghazal      Equatoria      Greater Upper Nile

Majimbo ya Sudan Kusini ni vitengo vya Jamhuri ya Sudan Kusini yenye madaraka ya kujitawala kulingana na katiba ya nchi. Kila jimbo huwa na bunge na serikali yake inayoongozwa na gavana.

Idadi ya majimbo ni 10. Majimbo hayo yaliundwa kutoka kwa majimbo matatu ya kihistoria ya zamani (ambayo ni pia kanda za kisasa) ya Bahr el Ghazal (kaskazini-magharibi), Equatoria (kusini), na Greater Upper Nile (kaskazini mashariki). Majimbo hayo yamegawanywa zaidi katika wilaya (counties) 79 .

Mnamo Oktoba 2015, Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit alitangaza kugawa majimbo hayo 10 kuwa 28. Mwezi Novemba 2015 bunge la Sudan Kusini liliidhinisha kuundwa kwa majimbo mapya. Mnamo Januari 2017, Rais Salva Kiir alitangaza amri ya kuongeza tena idadi ya majimbo kutoka 28 hadi majimbo 32. [1]

Lakini kwenye Februari 2020 nchi ilirejea katika majimbo 10 ya awali pamoja na maeneo mawili ya kiutawala, Pibor na Ruweng, na eneo la hali maalum ya kiutawala la Abyei . [2] [3] Mabadiliko hayo yalikuwa tokeo la makubaliano ya amani yaliyomaliza Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Sudan Kusini,

Eneo la Abyei linachukuliwa kuwa sehemu ya Jamhuri ya Sudan na Jamhuri ya Sudan Kusini kwa wakati mmoja. Eneo la Kafia Kingi linazaniwa kati ya Sudan Kusini na Sudan na Pembetatu ya Ilemi inazaniwa kati ya Sudan Kusini na Kenya.

Majimbo kumi na maeneo matatu (2020-sasa)

Bendera Dola au eneo Makao makuu Gavana au

Afisa mkuu

Wakazi
(2010)[4]
Eneo
(km2)[4]
Densiti
(/km2)
Kanda
Bahr el Ghazal Kaskazini Aweil Tong Aken Ngor 820,834 30,543.30 26.87 Bahr el Ghazal
Bahr el Ghazal Magharibi Wau Sarah Cleto Rial 358,692 91,075.95 3.94 Bahr el Ghazal
Lakes Rumbek Rin Tueny Mabor 782,504 43,595.08 17.95 Bahr el Ghazal
Warrap Kuajok Aleu Ayieny Aleu[5] 1,044,217 45,567.24 22.92 Bahr el Ghazal
Western Equatoria Yambio Alfred Futiyu 658,863 79,342.66 8.30 Equatoria
Central Equatoria Juba Emmanuel Adil Anthony 1,193,130 43,033.00 27.73 Equatoria
Eastern Equatoria Torit Louis Lobong Lojore 962,719 73,472.01 13.10 Equatoria
Jonglei Bor Denay Jock Chagor 1,228,824 80,926.00 TBD Greater Upper Nile
Unity Bentiu Joseph Monytuil 399,105 TBD TBD Greater Upper Nile
Upper Nile Malakal Budhok Ayang Kur[6] 1,013,629 77,283.42 13.12 Greater Upper Nile
Eneo la Abyei Abyei Kuol Deim Kuol 124,390 10,546.00 TBD Bahr el Ghazal
Eneo la Pibor Pibor Lokali Amae Bullen[7] 214,676 41,962.00 TBD Greater Upper Nile
Eneo la Ruweng Pariang Stefano Wieu Mialek[8] 246,360 TBD TBD Greater Upper Nile

Marejeo

  1. "South Sudanese President creates four more states – Sudan Tribune: Plural news and views on Sudan". www.sudantribune.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-18. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "South Sudan Kiir agrees to re-establish the 10 states - Sudan Tribune: Plural news and views on Sudan". www.sudantribune.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-01. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Kiir agrees to relinquish controversial 32 states". Radio Tamazuj (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-19. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 "Statistical Yearbook for Southern Sudan 2010" (PDF). Southern Sudan Centre for Census, Statistics and Evaluation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 18 Oktoba 2012. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2012. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Kiir fires Warrap governor, appoints a successor". Radio Tamazuj (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-24. Iliwekwa mnamo 2022-06-24.
  6. "Budhok Ayang Kur appointed Governor of Upper Nile state". South Sudan FP (kwa Kiingereza). 29 Januari 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-08. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "New Pibor chief administrator vows to restore peace, security". Radio Tamazuj (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-24. Iliwekwa mnamo 2022-06-24.
  8. "South Sudan's Kiir sacks Ruweng chief administrator". Juni 6, 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-09. Iliwekwa mnamo 2023-03-19.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)