Mikoa ya Jamhuri ya Kongo
Mandhari
Mikoa ya Jamhuri ya Kongo ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi wa utawala katika Jamhuri ya Kongo. Nchi imegawanywa katika mikoa kumi na mbili zinazoitwa kwa Kifaransa départements tangu mwaka 2002. [1]
Mikoa hiyo imegawanywa katika wilaya 86 na halmashauri 7. Hizo zimegawanywa zaidi katika jumuiya za mjini (communautés urbaines) na jumuiya za vijijini (communautés rurales); ambazo zimegawanywa zaidi katika mitaa (quartiers) na vijiji.
Mkoa | Makao makuu | Idadi ya watu (sensa ya 2007) |
Eneo (km2) |
Kanda |
---|---|---|---|---|
Kouilou | Hinda | 91,955 | 13,650 | Kusini |
Niari | Dolisie | 231,271 | 25,942 | Kusini |
Lekoumou | Sibiti | 96,393 | 20,950 | Kusini |
Bouenza | Madingou | 309,063 | 12,265 | Kusini |
Pool | Kinkala | 236,595 | 33,955 | Kusini |
Plateaux | Djambala | 174,591 | 38,400 | Kaskazini |
Cuvette | Owando | 156,044 | 48,250 | Kaskazini |
Cuvette-Ouest | Ewo | 72,999 | 26,600 | Kaskazini |
Sangha | Ouesso | 85,738 | 55,800 | Kaskazini |
Likouala | Impfondo | 154,155 | 66,044 | Kaskazini |
Brazzaville | 1,373,382 | 100 | Kusini | |
Pointe-Noire | 715,335 | 44 | Kusini |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Statoid site page on the Congo with additional sources listed". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 2012-04-22.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Jamhuri ya Kongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |