Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Benin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya mikoa ya Benin.

Mikoa ya Benin ni migawanyiko ya kiutawala ya ngazi ya juu katika nchi ya Benin. Nchi imegawanywa katika mikoa 12 (kwa Kifaransa: départements ), ilhali mikoa imegawanywa katika manispaa 77 (communes).

Hadi mwaka 1999, nchi ilikuwa na mikoa sita ambazo ziligawanywa na kuunda 12 ya sasa.

Mkoa Makao makuu[1][2] Wakazi (2013) Eneo (km2)[3] Mkoa

wa awali

Kanda Kanda ndogo
2 Alibori Kandi 868,046 26,242 Borgou Kaskazini Kaskazini mashariki
1 Atakora Natitingou 769,337 20,499 Atakora Kaskazini Kaskazini magharibi
10 Atlantique Allada 1,396,548 3,233 Atlantique Kusini Kusini kati
4 Borgou Parakou 1,202,095 25,856 Borgou Kaskazini Kaskazini mashariki
5 Collines Dassa-Zoumé 716,558 13,931 Zou Kaskazini Kaskazini kati
6 Kouffo Aplahoué 741,895 2,404 Mono Kusini Kusini magharibi
3 Donga Djougou 542,605 11,126 Atakora Kaskazini Kaskazini magharibi
11 Littoral Cotonou 678,874 79 Atlantique Kusini Kusini kati
9 Mono Lokossa 495,307 1,605 Mono Kusini Kusini magharibi
12 Ouémé Porto-Novo 1,096,850 1,281 Ouémé Kusini Kusini mashariki
8 Plateau Pobè 624,146 3,264 Ouémé Kusini Kusini mashariki
7 Zou Abomey 851,623 5,243 Zou Kaskazini Kaskazini kati
  1. Communiqué du Conseil des Ministres du 22 Juin 2016 | Portail Officiel du Gouvernement Béninois Archived 25 Januari 2019 at the Wayback Machine.. Gouv.bj (22 June 2016). Retrieved on 2017-01-02.
  2. Bénin : liste des 12 nouveaux préfets et des chefs-lieux de départements Archived 20 Novemba 2016 at the Wayback Machine.. Lanouvelletribune.info. Retrieved on 2017-01-02.
  3. Benin. Geohive.com. Retrieved on 2017-01-02.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]