Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Jibuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigezo:Short description


Regions of Djibouti
Gobolada Jabuuti (Somali)
Rakaakay Gabuutih (Afar)
CategoryUnitary state
LocationRepublic of Djibouti
Number6 Regions
Government
  • Region government
Subdivisions

Mikoa ya Djibouti ni maeneno ya msingi yaliyogaiwa katika ngazi ya utawala huko nchini Djibouti.

Mgawanyo wa kwanza wa kiutawala wa eneo hilo, mnamo mwaka 1914, ulitaja maeneo mawili mbali na jiji la Djibouti: nafasi ya chini ya utawala ya "Dankali" na "Issa". Pamoja na ukaliaji wa eneo hilo mwishoni mwa miaka ya 1920, mizunguko ya Tadjourah na "Gobad-Dikkil" iliundwa. Mnamo mwaka 1939, mzunguko wa Ali Sabieh ulitengwa kutoka ule wa mwisho. Mnamo mwaka 1963, mzunguko wa Obock uliundwa kwa kugawanya ule wa mkoa wa Tadjourah.

Mnamo mwaka 1967, mzunguko wa Djibouti uligeuzwa kuwa nafasi ya chini ya utawala, kisha kugawanywa kuwa nafasi tatu za chini za utawala.

Baada ya uhuru mnamo mwaka 1977, mizunguko ikawa mikoa. Mabadiliko makubwa ya mwisho kwenye ramani ya kiutawala ya eneo hilo ni kuundwa kwa mkoa wa Arta mnamo mwaka 2003.

Mikoa
Mkoa Eneo Idadi ya Watu Vituo vya Utawala
Mkoa wa Djibouti 200 km2 748,000 Djibouti City
Mkoa wa Ali Sabieh 2,400 km2 71,640 Ali Sabieh
Mkoa wa Arta 1,800 km2 40,163 Arta
Mkoa wa Dikhil 7,200 km2 83,409 Dikhil
Mkoa wa Tadjourah 7,100 km2 89,567 Tadjoura
Obock Region 4,700 km2 37,856 Obock


Kigezo:Regions of Djibouti